Mungu Anakupanga

 Jeremiah 29:11



Nina jua mahali uko na hali yako.
Nina jua watu, na shuguli, na kazi, na hatua ambazo nimekupangia na ambazo nimekuandalia na ambazo nime kutengenezea.
ASEMA MUNGU

Ni mahali, na hali, na watu, na shughuli, na kazi, na hatua, ambazo ni kwa faida yako, na kwa ajili ya wema wako; na sio kwa ubaya.

Ninataka kukupea kile unachotarajia, kile unacholenga, kile unachoazimia, na kile unachokitamani, katika siku zako za mbele, yani siku zijazo.

 •
30th June 2026

Karai Vocational

🗣 SWAHILI
     23mins
(Edited)


https://t.me/LunchHourPreaching/12259


》 Be Blessed
🎤🔥 Mungu Anakupanga  Jeremiah 29:11 ⬇️ Nina jua mahali uko na hali yako. Nina jua watu, na shuguli, na kazi, na hatua ambazo nimekupangia na ambazo nimekuandalia na ambazo nime kutengenezea. ASEMA MUNGU Ni mahali, na hali, na watu, na shughuli, na kazi, na hatua, ambazo ni kwa faida yako, na kwa ajili ya wema wako; na sio kwa ubaya. Ninataka kukupea kile unachotarajia, kile unacholenga, kile unachoazimia, na kile unachokitamani, katika siku zako za mbele, yani siku zijazo.  • 30th June 2026 Karai Vocational 🗣 SWAHILI    👇🎧  23mins (Edited) 👇 https://t.me/LunchHourPreaching/12259 》 Be Blessed
0 Comments 0 Shares 13 Views