Mungu Anakupanga

┬аJeremiah 29:11



Nina jua mahali uko na hali yako.
Nina jua watu, na shuguli, na kazi, na hatua ambazo nimekupangia na ambazo nimekuandalia na ambazo nime kutengenezea.
ASEMA MUNGU

Ni mahali, na hali, na watu, na shughuli, na kazi, na hatua, ambazo ni kwa faida yako, na kwa ajili ya wema wako; na sio kwa ubaya.

Ninataka kukupea kile unachotarajia, kile unacholenga, kile unachoazimia, na kile unachokitamani, katika siku zako za mbele, yani siku zijazo.

┬атАв
30th June 2026

Karai Vocational

ЁЯЧг SWAHILI
┬а┬а┬а┬а 23mins
(Edited)


https://t.me/LunchHourPreaching/12259


уАЛ Be Blessed
ЁЯОдЁЯФе Mungu Anakupanga ┬аJeremiah 29:11 тмЗя╕П Nina jua mahali uko na hali yako. Nina jua watu, na shuguli, na kazi, na hatua ambazo nimekupangia na ambazo nimekuandalia na ambazo nime kutengenezea. ASEMA MUNGU Ni mahali, na hali, na watu, na shughuli, na kazi, na hatua, ambazo ni kwa faida yako, na kwa ajili ya wema wako; na sio kwa ubaya. Ninataka kukupea kile unachotarajia, kile unacholenga, kile unachoazimia, na kile unachokitamani, katika siku zako za mbele, yani siku zijazo. ┬атАв 30th June 2026 Karai Vocational ЁЯЧг SWAHILI ┬а┬а┬аЁЯСЗЁЯОз┬а 23mins (Edited) ЁЯСЗ https://t.me/LunchHourPreaching/12259 уАЛ Be Blessed
0 рдЯрд┐рдкреНрдкрдгрд┐рдпрд╛рдБ 0 рд╕рд╛рдЭрд╛ 13 рд╡рдЗрдПрд╡рд╕