Mungu Anakupanga
 Jeremiah 29:11
Nina jua mahali uko na hali yako.
Nina jua watu, na shuguli, na kazi, na hatua ambazo nimekupangia na ambazo nimekuandalia na ambazo nime kutengenezea.
ASEMA MUNGU
Ni mahali, na hali, na watu, na shughuli, na kazi, na hatua, ambazo ni kwa faida yako, na kwa ajili ya wema wako; na sio kwa ubaya.
Ninataka kukupea kile unachotarajia, kile unacholenga, kile unachoazimia, na kile unachokitamani, katika siku zako za mbele, yani siku zijazo.
 •
30th June 2026
Karai Vocational
đź—Ł SWAHILI
    23mins
(Edited)
https://t.me/LunchHourPreaching/12259
》 Be Blessed
🎤🔥
Mungu Anakupanga
 Jeremiah 29:11
⬇️

   👇🎧 23mins
(Edited)
👇
https://t.me/LunchHourPreaching/12259
》 Be Blessed
0 Commentaires
0 Parts
13 Vue